اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ خَيْرَ الْمَوْلَجِ وَخَيْرَ الْمَخْرَجِ، بِسْمِ اللَّهِ وَلَجْنَا، وَبِسْمِ اللَّهِ خَرَجْنَا، وَعَلَى اللَّهِ رَبِّنَا تَوَكَّلْنَا
Allahumma inni as'aluka khayral-mawlaji wa khayral-makhraji, bismillahi walajna, wa bismillahi kharajna, wa 'alal-lahi Rabbina tawakkalna
Ee Allah, nakuomba kuingia kuzuri na kutoka kuzuri. Kwa jina la Allah tumeingia, na kwa jina la Allah tumetoka, na juu ya Allah Mola wetu tumemtegemea.