سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ أَسْتَغْفِرُكَ وَأَتُوبُ إِلَيْكَ
Subhanakal-lahumma wa bihamdika ashhadu an la ilaha illa anta astaghfiruka wa atubu ilayk
Utukufu ni Wako, Ee Allah, na sifa ni Zako. Ninashuhudia kwamba hakuna mungu isipokuwa Wewe. Ninakuomba msamaha na ninatubu Kwako.