Arabic Text

اللَّهُمَّ إِنِّي ظَلَمْتُ نَفْسِي ظُلْمًا كَثِيرًا وَلَا يَغْفِرُ الذُّنُوبَ إِلَّا أَنْتَ فَاغْفِرْ لِي مَغْفِرَةً مِنْ عِنْدِكَ وَارْحَمْنِي إِنَّكَ أَنْتَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ

Transliteration

Allahumma inni dhalamtu nafsi dhulman kathiran wa la yaghfirudh-dhunuba illa anta faghfir li maghfiratan min 'indika warhamni innaka antal-Ghafurur-Rahim

Translation

Ee Allah, hakika nimejidhulumu nafsi yangu dhulma kubwa na hakuna mwenye kusamehe dhambi isipokuwa Wewe. Basi nisamehe msamaha kutoka Kwako na unirehemu. Hakika Wewe ndiye Mwenye kusamehe, Mwenye huruma.

0:00 0:00
Hadith
When to Recite

Fadhila